Search

53 results for Loveness Bernard :

  1. Mastaa Yanga kama Ulaya

    KWA wachezaji nyota wa soka katika baadhi ya klabu barani Ulaya sio ajabu kukuta wakivaa soksi na hata viatu vikiwa na majina au sura zao mbali na bendera za mataifa watokapo kama kuwatofautisha...

  2. Golikipa Chigova afariki dunia

    Aliyekuwa golikipa wa timu ya Taifa Zimbabwe, George Chigova amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla nyumbani kwake nchini Afrika Kusini. Chanzo cha kifo chake kimetajwa ni shambulio la...

  3. PRIME Mpo? Dabo anawachora tu Yanga

    YANGA kuna sapraizi yenu kwa kocha wa Azam, Youssouph Dabo ambaye licha ya kukiri ubora wa Wananchi hasa katika safu ya ushambuliaji, amedai kuwa na kundi la mastaa wenye uwezo wa kukabiliana na...

  4. Sillah humwambii kitu kwa wali mandondo

    na pia anaupenda mchezo wa kikapu. Imeandaliwa na Olipa Assa, Eliya Solomon na Loveness Bernard

  5. Ligi ya mabasi Ligi Kuu Bara

    KUNA mambo mengi sana yanachangia maendeleo ya timu za soka duniani, timu kubwa zote zimekuwa na maendeleo baada ya kujiweka sawa kwenye miundombinu yao. Timu nyingi za Ligi kwa sasa zimeanza...

  6. Mipira ya CAF yazivuruga Simba, Yanga

    WIKIENDI iliyopita liliibuka sakata la mipira inayotakiwa kutumiwa na timu za Simba na Yanga kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, halijambo lililoifanya Yanga...

  7. 'Simba watapewa uwanja Jumamosi'

    SIMBA ikiwa na jambo lake huwa haina utani. Si mnajua kesho Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam itakuwa wenyeji wa Raja Casablanca kwa ajili ya mechi ya Kundi C ya...

  8. Vita ya viatu Ligi Kuu Bara

    KUNA mtu anaitwa Cornelius Johnson, huyu jamaa anatajwa kuwa ndiye mtu wa kwanza kabisa kutengeneza kiatu cha soka duniani huu ulikuwa mwaka 1920, lakini baada ya hapo mapinduzi ya soka yamekuwa...

  9. Sopu: Nafurahi kumfunga Diarra, Yanga

    GUMZO kubwa kwenye soka Tanzania ni kitendo cha mshambuliaji wa Azam, Abdul Suleiman ‘Sopu kuwa kinara wa kumfunga kipa bora wa Yanga, Djigui Diarra. Sopu ambaye ni kati ya washambuliaji ambao...

  10. Ahamada: Tatizo ni Yanga tu

    MWILI jumba alionao na wasifu wake alikotoka, umemfanya Ali Ahamada kubeba matumaini makubwa ya mashabiki wa Azam FC, wanaoamini atatisha kwenye milingoti mitatu. Hata hivyo, mwishoni mwa mwaka...

Page 1 of 6

Next